WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Monday, October 8, 2012

YANGA HOI DHIDI KAGERA SUGAR YALALA 1-0



Kikosi cha Young Africans Sports Club.
Young Africans Sports Club leo imelala bao 1-0 katika mchezo wake dhidi ya Kagera Sugar mechi iliyopigwa kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Bao la Kagera Sugar limewekwa kimiani naThemi Felix dakika ya 68 ya mchezo. Mpaka mwisho wa mchezo Kagera Sugar 1, Yanga 0.

No comments:

Post a Comment