WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Wednesday, October 24, 2012

Mwenyekiti mpya wa UVCCM Taifa Khamis Sadifa Juma Huyu Hapa



Khamis Sadifa Juma
 Dk. Sheni akimpongeza Khamis Sadifa Juma, baada ya kutangazwa Mshindi wa kuwa Mwenyekiti mpya wa UVCCM Taifa, katika uchaguzi uliofanyika jana mjini Dodoma.
Aliyekuwa Kaimu Mkt UVCCM Beno Malisa akimpongeza Khamis Sadifa Juma, baada ya kutangazwa Mshindi wa kuwa Mwenyekiti mpya wa UVCCM Taifa, katika uchaguzi uliofanyika jana mjini Dodoma.
Katibu Mkuu wa UVCCM Martine shigela akimkaribisha meza kuu Khamis Sadifa Juma bada ya kutangazwa mshindi
Kamanda wa Chipukizi Kingunge Ngombale-Mwiru akijadili jambo na Ktb Mkuu wa CCM Wilson Mukama wakati wa kutangazwa matokeo.
Mjumbe wa Kamati Kuu, Rais wa Zanzibar, Dk. Shein akiwa na Mwenyekiti mpya wa UVCCM,  Khamis Sadifa Juma na Makamu Mkt UVCCM, Mboni Mhita baada ya viongozi hao wapya wa Umoja huo kutangazwa kuwa washindi leo katika uchaguzi mkuu wa UVCCM uliofanyika jana mjini Dodoma. 
Habari kwa hisani ya Haki Ngowi blog
Picha na Bashir Nkoromo-Dodoma

No comments:

Post a Comment