WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Saturday, October 20, 2012

Sofia Simba Ashinda Tena UWT


  • Dk. Bilal Afungua Mkutano Wa UWT Taifa 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Nane wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika leo Oktoba 20, 2012 katika Ukumbi wa Chuo cha Mipango, mjini Dodoma, sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT Taifa.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma leo Oktoba 20, 2012 kwa ajili ya kufungua Mkutano Mkuu wa Nane wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT Taifa. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania, (UWT) Taifa, anayemaliza muda wake, Sophia Simba, wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nane wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika leo Oktoba 20, 2012, sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT Taifa.
 Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, anayemaliza muda wake, Sophia Simba (katikati) na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Pius Msekwa wakifurahia jambo wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nane wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika leo Oktoba 20, 2012, sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT Taifa. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais.
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT waliohudhuria mkutano huo leo katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma. Picha na OMR

1:- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Abdul Kinana, wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma leo Oktoba 20, 2012 kwa ajili ya kufungua mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika leo sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT Taifa. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

7 na 8:- Baadhi ya wake wa Viongozi, wakiwa ukumbini humo wakati wa ufunguzi huo wa mkutano Mkuu wa  nane wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika leo Oktoba 20, 2012, sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT Taifa. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
 
Leo Dodoma
habari na picha na mjengwa blog

No comments:

Post a Comment