WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Sunday, October 28, 2012

KAMERA YA MAISHA NA VITUKO VYAKE

MNAKARIBISHWA  KUANGALIA NA KUSIKILIZA NINI KINAENDELEE KUTOKA KWA WANASIASA WETU NA WATU MAARUFU VITUKO VYAO PALE PENGINE UBONGO WAO UNATOFAUTIANA NA SHERIA NA VIAPO VYAO VYA KAZI KATIKA BLOG MPYA YA trifoniahabari.blogspot.com
njoo ucheke na tujadiliane hasa pale ukiwa katika mapumziko baadaya kazi nzito ya kujenga familia na Taifa.

Karibuni

No comments:

Post a Comment