WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Saturday, October 20, 2012

Kiongozi Wa Uamsho Apatikana


  • Serikali Yapiga Marufuku Vipindi Vya Redio Na Television

 Kwenye ukurasa wa uamsho wamesema Kiongozi huyo amepatikana hai usiku wa kuamkia leo.kabla uamsho waliipa serikali masaa 26 hadi leo alasiri amiri wao awe amepatikana vinginevyo hali itakuwa mbaya


Habari kwa hisani ya Mjengwa blog.

No comments:

Post a Comment