WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Sunday, October 28, 2012

OKWI NA SUNZU WALIVYOZIRAMBA ICE CREAM - SIMBA IKIIFUNGA AZAM 3-1 TAIFA

Mshambuliaji wa Simba Emanuel Okwi akimpongeza mshambuliaji mwenzake Felex Sunzu alifunga bao la kwanza. (PICHA KWA HISANI YA http://pallangyor.blogspot.com/)

Mshambuliaji wa Simba Emanuel Okwi akienda kufunga bao huku beki wa Azam Ibrahim Shikanda akimzuia kwenye mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa



Mshambuliaji wa chipukizi wa Simba Ramadhan Singano wa Simba akiwatoka beki wa Azam Sahm Nuhu kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Taifa

Wachezaji wa Simba wakitoka uwanjani kwa furaha ya ushindi wa mabao 3-1

Wachezaji wa Simba wakishangilia bao kwenye mchezo  wa ligi kuu Tanzania uliochezwa uwanja wa  Taifa leo

habari na picha kwa Hisani ya Shaffih Dauda blog

No comments:

Post a Comment