WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Thursday, May 30, 2013

Linki za Matokeo Mapya ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2012 & 2013


Matokeo mapya ya Mtihani wa Kidato cha Nne kwa mwaka wa 2012 – 2013 yametolewa na NECTA,

Matokeo haya ni yale yaliyorudiwa kwa kupangwa upya kwa kutumia mfumo wa zamani badala yale yaliyotoka kwa mfumo mpya kukataliwa kwa kigezo kwa yalisababisha  wanafunzi wengi kufeli sana.

Bofya linki zilizopachikwa hapo chini kufungua na kujionea majibu ya mtihani huo :

  1. Matokeo ya kidato cha nne (CSEE) 2012 - Link 1 
  2. Matokeo ya kidato cha nne (CSEE) 2012 - Link 2
  3. Matokeo ya kidato cha nne (CSEE) 2012 - Link 3
  4. Matokeo ya kidato cha nne (CSEE) 2012 - Link 4

Linki ya tovuti ya NECTA

Matokeo ya Mtihani wa Kitaifa 2013 Kidato cha Nne 

na QT

Links za kutizamia matokeo:

  1. Bofya hapa kwa matokeo ya CSEE 2013 
  2. Bofya hapa kwa  matokeo ya QT 2013

Source: http://www.wavuti.com/

No comments:

Post a Comment