WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere

Monday, May 6, 2013

Makamu wa Rais Dr Gharib Bilal Atua Arusha

Makamu wa raisi Dkt Mohamed Gharib Bilal Pamoja na Stephen Masele wakiwapa pole majeruhi wa mlipuko wa bomu uliotokea majira ya saa 4;35 asubuhi jana kwenye uzinduzi wa kanisa la st.Joseph Mfanyakzi maeneo ya Olasit jijini Arusha.

 Makamu wa raisi Dkt Mohamed Gharib Bilal Pamoja na Mh.Stephen Masele wakiwapa pole majeruhi wa mlipuko wa bomu uliotokea majira ya saa 4;35 asubuhi jana kwenye uzinduzi wa kanisa la St.Joseph Mfanyakzi maeneo ya Olasit jijini Arusha
Makamu wa raisi Dkt Mohamed Gharib Bilal Pamoja na Stephen Masele wakiwapa pole majeruhi wa mlipuko wa bomu uliotokea majira ya saa 4;35 asubuhi jana kwenye uzinduzi wa kanisa la st.Joseph Mfanyakzi maeneo ya Olasit jijini Arusha.
Askofu mkuu wa kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT)Dkt Alex Malasusa akiwafariji wananchi baada ya kupewa nafasi ya kuwaombea majeruhi waliolazwa katika hospital ya Mount meru jijini arusha jana baada ya kulipukiwa na kitu kinachodhani kuwa ni bomu.
 
Picha zote na Mahmoud Ahmad Arusha
source Haki Ngowi

No comments:

Post a Comment