
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dkt.Mohamed Shein,akimkabidhi Mwenge wa Uhuru
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Juma Ali Sima,(kushoto) kutoka Mkoa wa Kusini
Unguja,baada kuzindua rasmi mbio hizo Kitaifa huko Chokocho Wilaya ya
Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo.

Chanzo: Ramadhani Othman,
Ikulu
No comments:
Post a Comment