WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Tuesday, May 28, 2013

Rais Wa Zanzibar Dr Ali Shein Awasili Salama Nchini China,Aanza Ziara Ya Kikazi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na ujumbe aliofuatana nao wakiwasili katika uwanja wa ndege  wa Beijing nchini china kwa ziara ya mualiko wa Serikali wa Jamhuri hiyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi Mdogo wa China nchini Tanzania anayefanyia kazi zake Zanzibar Bibi Chen Qiman, mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Beijing nchini china kwa ziara ya mualiko wa Serikali wa Jamhuri hiyo
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Maofisa wa Ubalozi wa Tanzania Nchini China,katika VIP katika uwanja wa ndege  wa Beijing nchini china kwa ziara ya mualiko wa Serikali wa Jamhuri hiyo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakiwa katika mapunziko mfupi katika Chumba cha Viongozi wakuu VIP,walipokaribishwa na  Balozi Mdogo wa China nchini Tanzania anayefanyia kazi zake Zanzibar Bibi Chen Qiman,(kulia) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Beijing nchini china kwa ziara ya mualiko wa Serikali wa Jamhuri hiyo jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakikaribishwa na Balozi wa Tanzania Nchi China Philip Sang’ka Marmo pamoja na Mkewe,katika hoteli ya China World Hotel,katika mji wa  Beijing nchini China akiwa katika ziara ya Kiserikali kwa mualiko wa Serikali ya  Jamhuri ya Watu wa China.Picha zote na Ramadhan Othman-IKULU-Zanzibar
 
source: haki ngowi

No comments:

Post a Comment