WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Sunday, October 14, 2012

TASWIRA MBALIMBALI ZA MWALIMU NYERERE ENZI ZA UHAI WAKE


Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiongea na wananchi.
Mwalimu akiongea na vijana kutoka mkoa wa Mara.
Mwalimu Nyerere akibadilishana nyaraka na Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Amani Karume.
Nyerere akisalimiana na Rais wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi.
Mwalimu Nyerere (kushoto) na Bibi Titi Mohammed (katikati).
Bibi Titi na Mwalimu wakihutubia wananchi enzi za TANU.
Mwalimu akiongea na wananchi.
PICHA ZOTE NA: www.juliusnyerere.info

No comments:

Post a Comment