WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Wednesday, October 3, 2012

Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Aongoza Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar



 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi, pia Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abduhamid Yahaya Mzee,wakati alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach Resort,kuiongoza Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili.        
  Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,akichangia Mada katika Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,ikiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani),na Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee,(kulia).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiongoza Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,(kushoto) Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee
  Katibu Mtendaji Tume ya Mipango Bi Amina Khamis Shaaban,alipokuwa akitoa mada ya nne ya Mpango wa Miaka mitano wa Utekelezaji wa Mkuza II,katika Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar
 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Saleh Mohamed Jidawi,alipokuwa akichangia mada katika Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanziba,Dk.Omar Dadi Shaajak.
Mkurugenzi Mipango, Sera na Utafiti katika Wizara ya Katiba na Sheria, Daima  M.Mkalimoto,alipokuwa akichangia mada ya "Mpango Mkuu wa Ufuatiliaji na Utekelezaji wa Mkuza II Zanzibar",katika Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort
 Baadhi ya Watendaji wa Idara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi wakisikiliza Mada zilizotolewa katika Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani).Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar

No comments:

Post a Comment