WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Friday, October 12, 2012

COMMERCE ANNUAL TRADE CONFERENCE USA


VIJIMAMBO LIVE NDANI YA EAST AFRICA CHAMBER OF 

East Africa Chamber of Commerce Confrence 2012 unaoendelea hapa Dallas, Tx Vijimambo inawaletea live. Mkutano huu unajumuisha nje za East Africa na kila nchi imewakirisha na kiongozi wajuu katika nchi usika. Tanzania imewakirishwa na Hon Dr. Mary Nagu, Dr Mary Nagu ni Minister's Of Investment and Empowerment in the Prime Minister's Office. Kenya imewakirishwa na Ambassador Elkanah Odembo is Ambassador of the Republic of Kenya to the United States. Na Rwanda imewakirishwa na Amb. Engineer James Kimonyo Uganda imewakirishwa na Governmet of the Republic of Uganda. Kenya Commercial Bank pia wapo na imewakirishwa na Eng. Musa Ndeto, the Chairman of the Board of Director. Na pia umeuzuriwa na Dr Enos Bukuku, Dr Bukuku  alishawahi kuwa Deputy Governor (Economic & Financial Policies of  the Bank of Tanzania (BoT na sasa anatumikia wazifa huu (EAC) Deputy Secretary General.  
Hapa ni Dr. Bill Atwood ( Bishop of International Diocese-ACNA akiubariki mkutano kwa kuomba
Washiriki wa mkutano huo wakiomba
Hapa ni Benedict Kazora, MSEE, MBA Chairman, East Africa Chamber of Commerce akiwatamburisha wageni waliokuwepo jioni ya opening cerenony.
Mayor  BobTownsand wa Dallas TX alikuwepo jioni hiyo na alionge machache
Ambassador Elkand Odembo akiwatamburisha wageni na sehem waliyo toka kuja kuhuzuria mkutano huo wa EAC hapa Dallas.
Mayor Bob Townsend wa Richardson City hapa Dallas, TX akimkabizi Dr. Bukuku Proclamation 
Mayor na Dr.wakipata ukodak
Dr. Mary Nagu akiwa anaingia ndani ua ukumbi na akipokelewa na Mayor Bob Townsend
Rais Dicota Dr Ndaga Mwakabuta kutoka Minnessota akipata ukodak na mwakirishi wa balozi Maajar kutoka Washington DC Paul Mwatongo Economic Attache Tanzania Embasy.
Dr. Bukuku, Asia Khamsin na Baba mwenye nyumba wakipata ukodak Asia yupo pia hapa kufanya fashion show jumamosi usiku.





























source of news and pictures; vijimambo blog



No comments:

Post a Comment