WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Saturday, March 1, 2014

Yanga yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri

 Kikosi cha Yanga 

 Kikosi cha Al Ahly

 Mshambuliaji wa timu ya Yanga,Mrisho Ngassa akiondoka na mpira huku Beki wa Timu ya Al Ahly ya Misri akitafuta namna ya kumzuia katika Mchezo huo.
Mpira umemalizika, Young Africans Sports Club 1 - 0 Al Ahly goli hilo limefungwa na Nadir Haroub "Cannavaro" dkk 82.

source:mjengwa blog

No comments:

Post a Comment