WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Monday, November 12, 2012

YANAYOENDELEA DODOMA NA CHAGUZI ZA CCM



 January Makamba
 Bernard Membe
Dr Fenela Mukangara
 Mwigulu Nchemba
 William Lukuvi
 Wilson Mukama
--
Matokeo ya chaguzi za nafasi 10 za wajumbe wa NEC -CCM Tanzania Bara wa Chama cha Mapinduzi zinazoendela Dodoma yametoka ni kama ifuatavyo:

1. Stephen Wassira - 2,135
2. January Makamba – 2,093
3. Mwigulu Nchemba – 1,967
4. Martine Shigela – 1,824
5. William Lukuvi – 1,805
6. Bernard Membe – 1,455
7. Mathayo David Mathayo – 1,414
8. Jackson Msome - 1,207
9. Wilson Mukama - 1,174
10. Fenela Mukangara - 984
 
 
*Taarifa za Matokeo haya na Makongoro Nyerere

 Mwenyekiti wa CCM,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kiongozi wa chama cha upinzani cha TLP Augustine Lyatonga Mrema wakati wa sherehe za ufunguzi wa mkutano mkuu wa nane wa CCM uliofanyika katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma




Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili kwenye ukumbi wa Kizota, Dodoma,  akifuatana na viongozi wengine wa ngazi ya Juu wa CCM. Kulia ni Makamu Mwenyekiyi wa CCM (Zanzibar), Karume, Makamu wa Rais Dk.Gharib  Bilal na kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama na Makamu Mweneyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza Mkutano Mkuu wa CCM leo Novemba 12. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Amani Abeid  Karume na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius  Msekwa
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akielekezwa jambo na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, kabla ya kuanza mkutano mkuu wa CCM, Kizota, Dodoma, leo, Nobemba 12, 2012. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa.
 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akielekezwa jambo na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, kabla ya kuanza mkutano mkuu wa CCM, Kizota, Dodoma, leo, Nobemba 12, 2012. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa.
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akisoma Taarifa ya Chama kwenye mkutano mkuu wa CCM, Kizota, Dodoma, leo, NOV 12, 2012
Baadhi ya wajumbe wakiwa kwenye mkutano huo leo. Kushoto ni Waziri wa Ujenzi, John Magufuli.
Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akisoma taarifa ya utelekezaji wa ilani ya Chama.
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akisoma Taarifa ya Chama kwenye mkutano mkuu wa CCM, Kizota, Dodoma, leo, NOV 12, 2012
Waasisi wa Tanu na baadaye CCM, Mwadawa Ali (85) na Mohammed Makber (72) wakisoma gazeti ya UHURU la Chama Cha Mapinduzi, kabla ya mkutano kuanza. leo.
Khadija Kopa (kushoto) akiimba wakati TOT ilipotumbuiza kwenye mkutano huo.Picha Zote na Bashir Nkromo -Dodoma

SOURCE Haki Ngowi blog

No comments:

Post a Comment