WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Saturday, November 17, 2012

MAPOKEZI YA MAKAMU WA CCM ZANZIBAR - Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. AliMohamed Shein,

 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. AliMohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti waCCM Mkoa waMjini Mhe. Silima Borafia baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Dodoma, katika Mkutano Mkuu wa CCM .
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akisalimiana na Wanachama wa CCM alipowasili Zanzibar, akitokea katika Mkutano Mkuu wa CCM na kuchaguliwa  kuchukuwa nafasi hiyo  ilioachwa naMakamu  Mwenyekiti Msataaf  na Rais wa Zanzibar Dk. Amani Karume.
Makamu Mwenyekiti waCCM akiwa katika gari la wazi akisalimiana na Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika mapokezi alioandaliwa, akipita katika barabara ya michezani.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi akiwapungia Wanachama wa CCM, waliofika kumpokea  

Wanachama wa CCM Zanzibar  wakimshangilia Makamu Mwenyekiti Mpya Dk. AliMohamed Shein, alipowasili Zanzibar, akiwa katika gari maalum ilioandaliwa katika sherehe za mapokezi yake.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika gari maalum iliandaliwa kwa ajli ya sherehe za mapokezi yake Zanzibar. 
   Shamrashamra za mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Shein
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi cha Mapinduzi wakimshangiria Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Shein, akipita katika barabara ya michezani kuelekea Afisi Kuu ya CCM Zanzibar. 





 


Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar Dk. Shein akifungwa kiskafu na vijana wa Chipukizi alipofika Afisi Kuu ya CCM Zanzibar
Makamu Mwenyekiti wa CCM ZanzibarDk. Shein akisalimiana na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar alipofika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akiwa na Viongozi wa CCM wakisoma dua kumuombea marehemu Mzee Karume kulia Makamu wa Pili wa Rais  wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Mwenyekiti wa Mkoa wa Mjini Silima Borafa na kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM Zanzibar Bakari Mussa.
Wazee wa CCM Zanzibar wakiomba dua katika kaburila Marehemu Mzee Karume.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  na Rais wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wazee wa CCM Zanzibar .
Wazee wa CCM Zanzibar wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiwahutubia

Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM Zanzibar Mzee Makame Mzee, akimkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein.  

No comments:

Post a Comment