WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Saturday, November 24, 2012

DEATH ANNOUNCEMENT


 Mtanzania mwenzetu, Selyan Samson Ene Sabore wa Tøyen, Oslo nchin Norway. Amefariki dunia leo jioni nchini Finland alikokuwa kwenye mapumziko na marafiki zake. Selyan alikuwa anafanya mazoezi, akaanguka na kuzimia kufa (comma), Jumamosi, Novemba 17. Bahati mbaya hakuamka na leo jioni akafariki dunia. Mwenyezi Mungu Amweke Pema...Ameen
Selyan Samson Ene Sabore wakati wa uhai wake

Mipango inafanywa kuusafirisha mwili wa marehemu kuupeleka nchini Tanzani
 Ijumaa 30th November 2012. 
 
Ili kufanikisha safari yake ya mwisho wa maisha yake tunaomba msaada wako kupitia Account ifuatayo:

NAME: Aika Msuya

ACCOUNT NUMBER: 97103785808 

NAME OF THE BANK: Skandiabanken 

IBAN-number: NO9597103785808 

SWIFT/BIC-kode: DNBANOKK / SKIANOBB

Misa ya kuuaga mwili wa marehemu itafanyika
‘Grønnland Kirke’ (Grønnlandsleiet 34)
on Wednesday, 28th November 2012
at 2.00pm (14:00 CET).
 

Kwa maelezo zaidi wasiliana na  

Aika Msuya:  +47 95496761

Gloria Mbabazi:  +47 92827420
May The Lord Almighty Rest Her Soul in Eternal Peace
Dr. Sendeu Titus M. Tenga
Chairman, 
Tanzanian Association in (Oslo) Norway

source Vijimambo.blog

No comments:

Post a Comment