WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Wednesday, November 14, 2012

Kinana Kutangazwa Kuwa Katibu Mkuu CCM Hii Leo



CCM wamemaliza Mkutano wao Mkuu jana usiku. Kuna kila dalili kuwa Abdulahaman Kinana atatangazwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM kuchukua nafasi ya Wilson Mukama. 

Na kutokana na Mkutano wa CCM kuchukua saa nyingi za kazi na uwepo wa sura nyingi mpya za wajumbe wa NEC, yawezekanakabisa , Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete, kinyume na ilivyo kawaida, safari hii akahitaji muda zaidi kabla ya kufanya Uteuzi wa Wajumbe wa Sekreteriati ya CCM.
 Ikumbukwe, Mkutano Mkuu ujao wa CCM utafanyika mwaka 2015, mwaka wa Uchaguzi.


No comments:

Post a Comment