WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Wednesday, November 14, 2012

KIZOTA YALIPUKA KWA FURAHA



Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete akiongoza kikao baada ya kushinda tena kiti hicho. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Dk. Ali Mohamed Sheni na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula


Wajumbe na waalikwa wakishangilia kutangazwa kwa Mwenyekiti


source vijimambo blog

Msimamizi wa Uchanguzi Anna  Makinda, akimpongeza Mwenyekiti wa CCMTaifa Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kutangazwa mshindi na msimamizi wa Uchaguzi. akiwa na Makamu wake wa  CCm Zanzibar nae amepata ushindi wa kishindo kwa kura zote za ndio, akifuatiwa na Mjumbe wa Halmashauku Kuu ya CCM na Makamu wa Rais waJamuhuri ya Muungano wa Tanzania  Dk. Mohammed Gharib Bilali


Wajumbe Wakishangilia baada kutangazwa matokeo ya Mwenyekiti na Makamu wake wa Bara na Zanzibar



source; ZanziNews blog

No comments:

Post a Comment