WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Wednesday, June 19, 2013

Saida Kalori ni Mzima yuko Mbeya, aongea na Millard ayo


Saida-Kalori1 599b7
Saida Kalori ameongea na millardayo.com akiwa wilaya ya Mbeya  na kusema amekua akipigiwa simu nyingi sana watu wakitaka kujua kama kafariki kweli, amekua akiambiwa taarifa mbalimbali kuhusu kifo chake… wengine wanasema kapata ajali ya boti iliyozama, wengine kapata ajali ya gari lakini ukweli ni kwamba hakuna lolote lililomtokea, ni mzima wa Afya. 
(Millardayo-Saida) "Nimepigiwa simu zaidi ya 250 kutoka kwa watu mbalimbali kati ya saa 12 jioni na 9 usiku mpaka simu ikazima"

Chanzo: millardayo.com

No comments:

Post a Comment