WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Tuesday, June 18, 2013

MAENDELEO YA MSIBA WA JEROME MPEFO HUKO HOUSTON,TEXAS

20130616-154106.jpg 
 
Ndugu wanajumuiya, Kamati ya msiba Inapenda kuwashukuru Wanajumuiya wa Houston, watanzania waishio nje ya Houston na watu wa mataifa mengine kwa kufanikisha shughuli ya harambee ya kukusanya pesa za kusafirisha mwili wa marehemu Jerome kuelekea nyumbani Tanzania. 

Mmeonyesha moyo mkubwa wa upendo na ushirikiano na tunawaomba muendelee na moyo huo. Tunatarajia kusafirisha mwili wa marehemu kwenda nyumbani Tanzania Alhamisi (06/20/2013) au Ijumaa (06/21/2013). ​ Kutakuwa na misa ya kumuombea marehemu pamoja na kutoa heshima za mwisho siku ya Jumane Tarehe 18 mwezi wa sita (06/18/2013) Mahali na muda ni kama ifuatavyo hapo chini:

 Address: St. Cyril of Alexandria Catholic Church 
10503 Westheimer Rd. 
Houston TX 77042
 Phone: 713-789-1250
 Muda: 3:00 PM – 4:00 PM 
Viewing 4:00 PM – 5:30 PM 
Misa 5:30 PM – 6:00PM
 Viewing Note: Shughuli itaisha 6:00PM (kanisa linafungwa muda huo) 
 
source: Haki Ngowi

No comments:

Post a Comment