WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Thursday, November 1, 2012

Wanafunzi wa S/Msingi wabeba mabango, wapaza sauti Rais Kikwete awasikie


Picture

Leo, Novemba Mosi, 2012, Wanafunzi wa shule ya msingi Mringa wamesimama katika barabara ya Ngaramtoni, Arusha wakiwa na mabango ili kumuonesha Raisi Jakaya Kikwete kuwa wanateseka mara baada ya kunyang'anywa shamba la hekari nne na watu wanaodhaniwa kuwa ni wawekezaji. (picha: Upako wa habari blog)
Picture

Wanafunzi wa shule ya msingi Mringa wakiwa wanaimba ili ujumbe uweze kumfikia Raisi Kikwete aliyepo ziarani mkoani Arusha kwa shuguli za kikazi. (picha: Upako wa habari blog)
Picture
(picha: Upako wa habari blog)
Source: http://www.wavuti.com

No comments:

Post a Comment