WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Tuesday, November 13, 2012

CCM-Diaspora watia fora Mkutanoni, Kizota, Dodoma


Picture

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akifurahi sambamba na Mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula na Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete (kushoto) wakati wa zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa nafasi hizo, katika Mkutano Mkuu wa nane wa CCM unaomalizika leo kwenye ukumbi wa Kizota, Dodoma. Source: hisani ya Fadhili Akida wa Habarileo.
Picture
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa juu wa CCM katioka picha ya pamoja na viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota mjini Dodoma leo (picha: IKULU)
Picture
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Katibu wa CCM tawi la Diaspora UK Mariamu Mungula. (picha: IKULU)
Picture
Viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota mjini Dodoma leo. (picha: IKULU)
Picture
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakisalimiana na viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota mjini Dodoma leo. (picha: IKULU)
Picture
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipozi na viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (mkoa wa Diaspora) wakiwa katika mkutano Mkuu wa nane wa chama hicho huko Kizota mjini Dodoma leo. (picha: IKULU


Source: 
http://www.wavuti.com

No comments:

Post a Comment