WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Monday, November 12, 2012

VIONGOZI WAANDAMIZI WA CCM WAKIWA DODOMA


 Rais wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa(wa Pili Kulia)akiwa na Waziri Mkuu Mstaafu David Cleopa Msuya na Baadhi ya Wajumbe Waandamizi Wakieleke kwenye Mkutano Mkuu wa Nane wa Chama cha Mapinduzi Mjini Dodoma Leo
Pichaa  Juu baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa Nane wa Chama cha Mapinduzi CCM wakidurusu baadhi ya magazeti leo asubuhi nje ya ukumbi wa mikutano mjini Dodoma Leo leo,na picha ya chini baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa nane wa CCM Wakinunua nguo mbalimbali kwenye leo mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment