WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Sunday, November 11, 2012

Taswira Kwenye Kikao Cha NEC CCM



Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda akisalimiana na MNEC Wilaya ya Monduli, Mh. Edward Lowassa jioni ya leo katika ukumbi wa NEC-Dodoma.

 
 
 

Waziri Mkuu mstaafu Mh. David Cleopa Msuya akibadilishana mawazo na Mh. Abrahaman Kinana leo kabla ya kuanza kwa kikao cha NEC.

 

Mjumbe wa NEC akipitia gazeti la Mzalendo toleo maalum linalozungumzia mkutano mkuu wa CCM .

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha wajumbe wa NEC Dodoma leo, kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama

No comments:

Post a Comment