WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Saturday, November 3, 2012

NIMEIPENDA HII TAARIFA HEBU ISOME


 
US DEBATE: NIMEJIFUNZA MAMBO HAYA:-
  1. Kiongozi wa US huwa anaomba ridhaa ya wananchi wamchague na kila anachosema au kuahidi kina maana kwa wapiga kura na kinaweza kumfanya ashinde au ashindwe. Unlike Tanzania Kiongozi anajua kila kitu na anachokisema ndio slogan ya chama na washabiki wake!
  2. Hadi asubuhi CNN wanatoa takwimu kuwa bado kuna 51% ya undecided voters according to CNN polls, na wapo waaliobadirika baada ya last debate. Unlike Tanzania wanaopigia CCM na CDM wameshajiandaa kabisa come what may!
  3. Kiongozi hana haja ya kuwa na woga wa debate, ukikosolewa unajifunza zaidi na unaweza kuwa stronger and stronger kwa kadiri unavyoji-compose.  Unlike kwetu CCM wanakimbia debate, na ukiwachallenge CHADEMA utaitwa fisadi!
  4. Debate yenyewe inakuwa na multiple topics kupima uwezo katika maeneo mbalimbali, leadership skills, intelligence, economic plans, defence plans, foreign policy. Unlike bongo, rumours and accusations dominates political arena.
  5. Personal attacks ipo lakin be careful inaweza kuwa your downfall. 

Watu wengi wa kwetu wanavutiwa sana na personal issue (scandals) na ndio big strategy ukitaka kuwa popular. hakuna anayelipia kwa kuwa scandal-monger.

NAWAOMBA WANAHABARI WETU AMBAO WANAJIITA MHIMILI WA 4, WATUSAIDIE KUTUTENGENEZEA VIONGOZI WALIO-BORA. US, UK NA SEHEMU NYINGINE MEDIA NDIZO ZINAOWAWAJIBISHA WANASIASA, SIO KWA KUANDIKA VIJEMBE BALI KWA KUWASIMULIA WANANCHI UHALISIA WA KIONGOZI.

I'M SORRY KUSEMA KWETU KUNA BAADHI YA WANAHABARI WANAKUBALI KUNUNULIWA AU KUJITOA KWA MAPENZI YAO KUMPAMBA AU KUMBOMOA MWANASIASA, IN SO DOING, WANASIASA HAWANA CHA KUJIFUNZA, HAWANA CHA KUTUONESHA WANANCHI, WANAJUA KUNA MEDIA ZINANUNULIKA AU NI ZA JAMAA ZAO WATAWAPAMBA TU!

WANAHABARI WAKATI UMEFIKA NANYI KWENU KUWA WAPIGANIA UKOMBOZI WA KIUCHUMI NA KIMAADILI NCHINI!

HEBU KUWENI KINJEKETILE, KINA MKWAWA WAPYA.......... HISTORIA ITAWAANDIKA! CNN et al HAWANA CHA ZAIDI YA UADILIFU KWA USA.

---
Imeandikwa na  Omary Ubuguyu via Change Tanzania - Facebook.com/groups
Source: http://www.wavuti.com

No comments:

Post a Comment