WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Saturday, November 10, 2012

Neno La Leo: Obama Na Marais Wa Afrika...




“MWISHOWE, historia ina mkondo ulio wazi, na si mkondo utakaopitwa na wale wenye kuwakamata akina mama na watoto wao wanaoandamana kuipinga Serikali wakiimba mitaani. Si mkondo kwa wale wanaowafanya watu wao waishi katika njaa na kuwanyamazisha kwa nguvu ili wabaki madarakani”- Barack Obama.

Maneno hayo yalisemwa na Rais Barack Obama alipoonyesha kuwaunga mkono akina mama wa Zimbabwe walioungana kupinga utawala wa Rais Robert Mugabe. Obama alifika mahali akamwita Mugabe dikteta.

No comments:

Post a Comment