WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Tuesday, March 12, 2013

ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR WILAYA YA KUSINI UNGUJA KATIKA PICHA

DSC_0007aRais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na viongozi  wakati alipowasili katika bonde la Mpunga la Muyuni Wilaya ya Kusini Unguja,kuangalia athari za kilimo cha Mpunga,akiwa katika ziara mko
a wa kusini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] DSC_0014a 
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na viongozi  wakati alipowasili
katika bonde la Mpunga la Muyuni Wilaya ya Kusini Unguja,kuangalia
athari za kilimo cha Mpunga,akiwa katika ziara Mkoa wa Kusini
Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] DSC_0018a 
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara
ya Kilimo na Maliasili   wakati alipowasili katika bonde la Mpunga la
Muyuni  Wilaya ya Kusini Unguja,kuangalia athari za kilimo cha
Mpunga,akiwa katika ziara Mkoa Kusini Unguja.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.] DSC_0045a 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea risala ya  wananchi na Wakulima  wa
Muyuni,kutoka wa  Marium Mwinyi, alipofika katika shehia hiyo
kuangalia athari za mpunga uliopata matatizo ya kuungua na jua
kali,akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kusini Unguja jana, [Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.] DSC_0053a 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,akizungumza na  Wananchi na Wakulima  wa
Muyuni,alipofika katika shehia hiyo kuangalia athari za Kilimo cha
Mpunga uliopata matatizo ya kuungua na jua kali,akiwa katika ziara ya
Mkoa wa Kusini Unguja jana, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_6621a 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akipanda mche wa mnazi mbele ya jengo la Jumuiya
ya Tuishi la vikundi vya ushirika vya Akina mama wa  Jambiani Mbuyuni
Shehia ya Kibigija, alipofika kukagua ujenzi wa Jengo la jumuiya
hiyo,akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kusini Unguja jana. [Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_6695a 
Mbunge wa Jimbo la Muyuni CCM,pia Naibu Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimatifa  Mahadhi Juma Maalim,alipokuwa akitoa
tamko la mchango wake wa Shilingi Millioni mbili za Kitanzania,wakati
wa Harambee ya kukamilisha Ujenzi wa jengo la Jumuiya ya Tuishi
Jambiani Mbuyuni Shehia ya Kibigija, katika  ziara ya Rais , Mkoa wa
Kusini Unguja jana. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_6702a 
Afisa Tawala wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Ayoub  Mohamed  Mahmoud,akimkabidhi Fedha Dola za Kimarekani Mia tatu,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,wakati  wa harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la  Jumuiya ya
Tuishi Jambiani Mbuyuni Shehia ya Kibigija,aliyoiitisha katika   ziara
ya Mkoa wa Kusini Unguja jana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_6711a

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa akitoa idadi ya fedha zilizochangwa
wakati wa harambee kukamilisha ujenzi wa jengo la Jumuiya ya Tuishi
Jambiani Mbuyuni Shehia ya Kibigija,alipofika kuangalia maendeleo ya
Ujenzi wa Jengo hilo jana, akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kusini Unguja
jana,ilifikia shilingi za Kitanzania Milioni ishirini na tano,laki
tatu na arubaini na sita elfu.

 [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

source: mjengwa blog

No comments:

Post a Comment