WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Thursday, March 21, 2013

RAIS DK. SHEIN AFANYA MAJUMUISHO YA ZIARA YAKE

1 
Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Viongozi mbalimbali na watendaji wa Mkoa wa kusini Pemba jana,katika ukumbi wa Skuli ya Fidel kastro Vitongoji Pemba.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

IMG_8234Baadhi 

ya Viongozi na watendaji wa Ofisi zililizondani
ya Mkoa wa Kusini Pemba wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Viongozi
hao katika mkutano wa majumuisho ya ziara aliyoifanya katika Mkoa huo
,uliofanyika ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro Vitongoji Pemba[Picha na
RamadhanOthman,Ikulu.] 

IMG_8235Baadhi 

ya Viongozi na watendaji wa Ofisi zililizondani
ya Mkoa wa Kusini Pemba wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Viongozi
hao katika mkutano wa majumuisho ya ziara aliyoifanya katika Mkoa huo
,uliofanyika ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro Vitongoji Pemba.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.] 

IMG_8240

Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Sheikh Khamis Ali,baada ya kusoma
Quran tukufu,iliyosomwa kwa ajili ya kuupa Baraka mkutano wa
Majumuisho ya Ziara ya Rais katika Mkoa wa Kusini Pemba huko Ukumbi wa
Skuli ya  Fidel Castro Pemba. .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment