WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Monday, March 18, 2013

ZIARA YA RAIS DK. SHEIN MKOA KASKAZINI PEMBA,


IMG_7880a
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akikaribishwa na Mwakilishi wa Jimbo la Ole Hamad Masoud Hamad,alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Ole kufungua madarasa mapya ya kusomea katika Skuli ya Msingi Ole,akiwa katika ziara ya kuangalia maendelea ya miradi mbali mbali katika Mkoa wa Kaskazini Pemba. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
IMG_7883a 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mawaziri wa Wizara mbali mbali
alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Ole kufungua madarasa mapya ya
kusomea katika Skuli ya Msingi Ole,akiwa katika ziara ya kuangalia
maendelea ya miradi mbali mbali katika Mkoa wa Kaskazini Pemba. [Picha
na Ramadhan Othman Ikulu.] IMG_7888a 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kufungua madarasa mapya kusomea ya Skuli ya Msingi ya Ole,Jimbo la Ole Mkoa wa Kaskazini Pemba jana,akiwa katika ziara ya kikazi katika Mkoa huo,(kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
IMG_7891a  

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna,(katikati) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipofungua madarasa mapya kusomea ya Skuli ya Msingi ya Ole,Jimbo la Ole Mkoa wa Kaskazini Pemba jana,akiwa katika ziara ya kikazi katika Mkoa huo. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] IMG_7896a 

Baadhi ya wanafunzi wa Skuli ya Msingi ya Ole,Jimbo la
Ole Mkoa wa Kaskazini Pemba,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza
nao baada ya kufungua madarasa mapya ya kusomea Skulini hapo
jana,akiwa katika ziara ya kikazi ndani ya Mkoa huo. [Picha na
Ramadhan Othman Ikulu.] 

IMG_7925a

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wananchi wa Konde wilaya ya Wete, jana alipotembelea barabara ya Konde-Wete,inayojengwa na kampuni ya LEA Associates South AsiaPvt.Ltd,chini ya ufadhili wa shirika la MCC la Marekani,akiwa katika ziara ya kikazi Mkoa wa Kaskazini Pemba.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

source: Mjengwa blog

No comments:

Post a Comment