WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Wednesday, February 20, 2013

Zanzibar: Rais Dk Shein atoa heshima za mwisho kwa Padr Evaristus Mushi
















Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein leo ameungana na viongozi wa dini, waumini pamoja na wananchi wenye mapenzi mema, katika kutoa salamu ya mwisho kwa mwili wa Marehemu Padre Evaristus Mushi, kwenye Kanisa la Minara Miwili Mjini Zanzibar, aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasijuilikanwa Jumapili iliyopita.

Mwili wa marehemu Padre Mushi unapumzikwa leo Kitope Wilaya ya Kaskazini B, Unguja.

No comments:

Post a Comment