Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza La Mapinduzi akiwa na Askofu Augustine Shao askofu wa Jimbo kuu Katoliki Zanzibar wakielekea kwenye mazishiya Marehemu Fr. Evarist Mushi katiI ka makaburi ya Kitope wilaya ya Kaskazini B Unguja
Wananchi wa Zanzibar ambao wamehufhuria mazishi ya Fr. Evarist Mushi wakishusha Jeneza lenye mwili wa Fr. Evarsit Mushi katika Nyumba yake ya Milele leo katika makaburi ya Kitope wilaya ya Kaskazini B Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza La Mapinduzi akiweka udongo katika kaburi la Marehemu Fr. Evaris Mushi katika mazishi yaliyofanyka leo katika makaburi ya Kitope wilaya ya Kaskazini B Unguja
Waziri wa mambo ya Ndani Mheshimiwa Dr. Emmanuel Nchimbi akiweka udongo katika Kaburi lwa marehemu Fr. Evarist Mushi katika mazishi ambayo yamefanyika leo huko Kitope wilaya ya Kaskazini B Unguja
Askofu Mkuu wa jimbo kuu la Dar es salaam Muadhama Policup Pengo pamoja na Maaskofu wengine wakichomeka msalaba katika kaburi la Marehemu Fr. Evarist Mushi katika makaburi ya Kitope wilaya ya Kaskazini B Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza La Mapinduzi akiweka shada la Maua katika kaburi la Marehemu Fr. Evaris Mushi katika mazishi yaliyofanyka leo katika makaburi ya Kitope wilaya ya Kaskazini B Unguja
waombolezaji wakifuatilia mazishi ya Fr. Evarist Mushi jioni hii huko Kitope wilaya ya Kaskazini B Unguja
Picha kwa Hisani ya: Mtaa kwa Mtaa blog
No comments:
Post a Comment