WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Thursday, February 7, 2013

Tanzia la Maaskofu: Askofu Amedeus Msarikie; Askofu Thomas Laizer


Picture
(picha: tecdirectory.tripod.com)
Asubuhi ya leo imeripotiwa kuwa Askofu Mstaafu wa Kanisa Kaoliki jimbo la Moshi Amedeus Msarikie amefariki leo alfajiri katika hospitali iliyopo mjini Nairobi nchini Kenya alikokuwa akitibiwa.

Marehemu Msarikie alikuwa Askofu wa jimbo Katoliki la Moshi tangu mwaka 1985 hadi 2008.
Picture
Thomas Laizer (photo: shout-africa.com)
Jioni ya leo, imeripotiwa kuwa kuwa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini-Kati, Askofu Thomas Laizer amefariki dunia katika Hospitali ya Rufaa ya Selian ya Arusha, Tanzania alikokuwa amelazwa kwa matibabu.

---
Roho za Marehemu zipumzike pema.
wavuti.com inakupeni pole na kukutakieni faraja ninyi nyote mlioguswa na msiba.


Source: http://www.wavuti.com

No comments:

Post a Comment