WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Sunday, April 13, 2014

mafuriko yatawala jijini DSM

DSC 0011 ca120
Mto msimbazi eneo la kigogo ukiwa umejaa maji.
DSC 0016 5081f
Barabara ya kawawa eneo la magomeni mikumi ikiwa imejaa maji

DSC 0030 e3d0e
DSC 0038 ed23c
Wakazi wa Mburahati jijini Dsm wakiwa hawana cha kufanya zaidi ya kusubiri kudra za mungu.( Picha na Hudugu Ng'amilo)

SOURCE: MJENGWA BLOG

No comments:

Post a Comment