
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba James Mbatia (kushoto), Mohamed Raza( wa pili
kushoto) , Profesa Ibrahim Lipumba (wa pili kulia) na Freeman
Mbowe(kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wa kikao cha
ishirini na mbili cha Bunge Maalum la Katiba.

Mwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akisalimia wajumbe wa Bunge
hilo mara baada ya kikao kuharishwa leo mchana mjini Dodoma.

Baadhi wa wajumbe wa Bunge la Katiba wakitoka ukumbini baada ya kikao kuharishwa leo mchana mjini Dodoma
source: mjengwa blog
No comments:
Post a Comment