WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Tuesday, April 15, 2014

Lowassa amkaribisha Mkapa Monduli


lo_e37a9.jpg
mk_cb85d.jpg
Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimkaribisha Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mh Benjamin Mkapa katika shule ya msingi ya Manyara Ranchi wilayani Monduli ambayo inafadhiliwa  na shirika la kimataifa ya African Wildlife Foundation.Mzee Mkapa ni Makamu mwenyekiti wa bodi ya shirika hilo duniani.(Awadh ibrahim).

source: mjengwa blog

No comments:

Post a Comment