WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Sunday, January 27, 2013

SIMBA YAICHAPA AFRICAN LYON 3-1, AZAM YAIPA KAGERA SUGAR 2


Mshambuliaji wa Simba, Mrisho Ngassa (kulia) akiwatoka mabeki wa African Lyon, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom mzunguko wa pili ulioanza leo. Mchezo huo umechezwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, ambapo Simba imeshinda kwa mabao 3-1.
Matokeo mengine ya mechi za leo ni kama ifuatavyo, Azam Fc 3- Kagera Sugar 1, Ruvu Shooting 1- JKT 0, Orjolo 3-Toto African 1, Polisi Moro 1- Mtibwa Sugar 0, Coast Union 3-Mgambo Shooting 1.
Mrisho Ngassa, akiinuliwa na wenzake nyavuni baada ya kutupia bao la pili.
Mwinyi Kazimoto, akizunguka katikati ya Dimba. 
Amri Kiemba, akimiliki mpira katikati ya mabeki wa African Lyon
source vijimambo blog

No comments:

Post a Comment