WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Monday, January 21, 2013

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI UFARANSA


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea Watanzania wanaoishi Ufaransa katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo Januari 21, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Watanzania wanaoishi Ufaransa katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo Januari 21, 2013.
Watanzania wanaoishi Ufaransa wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo Januari 21, 2013.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe Bernard Membe akihutubia Watanzania wanaoishi Ufaransa katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo Januari 21, 2013.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar, Said Ali Mbarouk akihutubia Watanzania wanaoishi Ufaransa katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo Januari 21, 2013.
Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Profesa Sospeter Muhongo akihutubia Watanzania wanaoishi Ufaransa katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo Januari 21, 2013.
Waziri wa Ujenzi, Dkt John Pombe Magufuli akihutubia Watanzania wanaoishi Ufaransa katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris usiku wa kuamkia leo.
(PICHA NA NA IKULU)

No comments:

Post a Comment