WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Monday, December 3, 2012

ZANZIBAR STARS NA KILI STARS ZAUA CECAFA - SASA KUKUTANA NUSU FAINALI


Kikosi cha Zanzibar Heroes kilichopambana na Burundi katika mchezo wa Robo Fainali ya Pili ya michuano ya Cecafa Challenge uliochezwa katika Uwanja wa KCC uliopo Lugogo nchini Uganda


Wachezaji wa timu ya Zanzibar Heroes na Burundi wakiwania mpira wakati wa mchezo wa Robo Fainali ya pili ya michuano ya Cecafa Challenge uliochezwa katika Uwanja wa KCC uliopo Lugogo nchini Uganda
Mashabiki wa Kilimanjaro Stars inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, wakishangilia wakati wa mchezo wa Robo Fainali ya kwanza ya michunao ya Cecafa Challenge dhidi Rwanda uliochezwa katika Uwanja wa KCC uliopo Lugogo nchini Uganda. Kilimanjaro Stars ilishinda 2-0

Kiungo mchezeshaji wa Kilimanjaro Stars inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Mwinyi Kazimoto akizuiwa na beki wa Rwanda, Ismail Nshutiyamagara wakati wa mchezo wa Robo Fainali ya kwanza ya michuano ya Cecafa Chalenge uliochezwa katika Uwanja wa KCC uliopo Lugogo nchini Uganda

Kiungo mshambuliaji wa timu ya Kilimanjaro Stars inayadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Amri Kiemba na beki wa timu ya Rwanda, Michel Rusheshangoga wakiwania mpira wakati wa mchezo wa Robo  Fainali ya kwanza uliochezwa katika Uwanja wa KCC uliopo Lugogo nchini Uganda

Wachezaji wa Kilimanjaro Stars inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager wakitoka Uwanjani baada ya kipindi cha kwanza kumalizika katika mchezo wa Robo Fainali ya kwanza ya michuano ya Cecafa Challenge uliochezwa katika Uwanja wa KCC uliopo Lugogo nchini Uganda

Kipa wa Rwanda aliyelala chini akijitahidi kuokoa goli lililofungwa na Amri Kiemba baada ya kazi nzuri iliyofanywa na Mwinyi Kazimoto ya kuwapita mabeki wa timu ya Rwanda

Mshambuliaji wa timu ya Kilimanjaro Stars inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Mrisho Ngasa aliyelala chini na wachezaji wenzake wakishangilia kwa staili ya aina yake baada ya kuwafunga Rwanda 2-0 katika mchezo wa Robo Fainali ya kwanza ya michuano ya Cecafa Challenge uliochezwa katika Uwanja wa KCC uliopo Lugogo nchini Uganda

source: Shaffih Dauda

No comments:

Post a Comment