WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Thursday, December 20, 2012

Miss USA Olivia Culpo is crowned Miss Universe


AWABWAGA WALIMBWENDE WENZAKE NA KUJINYAKULIA TAJI UKU AKISHINDWA KUAMINI KAMA KWELI ALISTAHILI KUSHINDA TAJI HILO.

Miss Universe 2011 Laila Lopes wa Angola akimvisha taji  Olivia Culpo baada ya kushinda Miss Universe 2012, mashindano haya ya lifanyika Las Vegas. Mashindano ya Miss Universe yalishilikisha walimbwende 89 na Olivia Culpo wa U.S.A kuibuka kidedea wa kinyanganyiro hicho. Olivia Culpo ana miaka 20 na ni mwanafunzi wa Boston University sophomore. Tanzania katika mashindano hayo tuliwakirishwa na Winfrida Dominic lakini akubaatika kuingia top 15 lakini bado tunampongeza kwa kupata nafasi ya kuiwakirisha nchi yetu.
Miss Universe 2012 Olivia Culpo wa U.S.A akindwa kuamini kama ameshinda kutokana na ushindani uliokuwepo katika mashindano hayo ya mwaka yaliyo washirikisha washiriki 89 kutoka nchi mbali mbali duniani.
Olivia Culpo Miss Universe 2012 baada ya kutangazwa mshindi wa mashindano hayo yaliyofanyika Las Vegas, Devada.
Miss Philippines Janine Tugonon akimpongeza Olivia Culpo baada ya kutanganzwa Miss Universe 2012
Hawa ndiyo waliingia tano bora na ndipo akapatikana mshindi wa taji hilo la Miss Universe 2012 Olivia Culpo wa U.S.A

No comments:

Post a Comment