WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Saturday, December 22, 2012

Mahafali ya nane ya Suza




 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Taifa Zanzibar Prof. Idrissa Ahmada Rai, wakati wa mahafali ya nane ya Chuo hicho yaliyofanyika Kampasi mpya ya Chuo hicho iliyoko Tunguu. Katikati ni Mwenyekiti wa bodi ya Chuo hicho Mzee Nassor Hassan Moyo.

 
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiongozana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Taifa Zanzibar Prof. Idrissa Ahmada Rai, wakati wa mahafali ya nane ya Chuo hicho yaliyofanyika Kampasi mpya ya Chuo hicho iliyoko Tunguu. Katikati ni Mwenyekiti wa bodi ya Chuo hicho Mzee Nassor Hassan Moyo.



 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatu kulia) pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA),pamoja na Viongozi wengine wa Chuo hicho wakiwa katika maandamano wakati mahfali ya nane yaliyofanyika leo katika
kampasi ya Tunguu
 Baadhi ya Viongozi wakuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walioalikwa katika sherehe za Mahafali ya nane ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) zilizofanyika leo katika kamapasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja

 Baadhi ya Viongozi wakuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walioalikwa katika sherehe za Mahafali ya nane ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) zilizofanyika leo katika kamapasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja

 
Baadhi ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) ,akitoa hutuba yake baada ya kuwatunuku Shahada,katika sherehe za Mahafali ya nane ya chuo zilizofanyika huko katika kampasi ya Tunguu leo



 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohd Shein ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Taifa Zanzibar, pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad wakifurahia jambo katika hafla ya mahafali ya nane ya Chuo hicho yaliyofanyika Kampasi mpya ya Chuo hicho iliyoko Tunguu.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohd Shein (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad pamoja na viongozi mbali mbali wa Chuo na Serikali wakati wa mahafali ya nane ya Chuo hicho yaliyofanyika Kampasi mpya ya Chuo hicho iliyoko Tunguu. (Picha, Salmin Said, OMKR).

No comments:

Post a Comment