WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Saturday, April 13, 2013

Rais Uhuru, Naibu Rais Ruto wakiwa na Raila Odinga na Kalonzo Musyoka, Ikulu


 
RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta na na Naibu wake William Ruto, leo wamekutana na kushauriana na wakuu wa chama cha CORD Raila Odinga na Kalonzo Musyoka waliowatembelea Ikulu Nairobi kuwatakia heri.
Picture
Picha: L-R: Uhuru, Ruto, Raila, Kalonzo katika Ikulu ya Nairobi leo, Aprili 13, 2013. (picha/PPS via SwahiliHub @twitter)
Picture
Picture
Picture


Source: http://www.wavuti.com

No comments:

Post a Comment