WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Wednesday, April 17, 2013

BI KIDUDE :Queen of Taarab and Unyago Music afariki dunia


DAKIKA 45 zilizopita nilipokea taarifa ya kufa kwa mmoja wa wakongwe wa sanaa nchini hapa Fatuma binti Baraka  al maarufu kama Bi.Kidude. Kutokana na kila mara watu kumzushia kifo, nilista kuposti na kuonge amdau wa Zanzibar ambaye naye alichukua jukumu mla kwenda kumuona mjukuu wa Bi Kidude aliyekuwa anaishi naye Baraka Said ambaye alithibitisha kuaga dunia kwa Bi kidude.
Baraka alisema kwa sasa watu wa familia wanajikusanya ili kujaribu kuona wanafanya maziko ya mkongwe huyu wa muziki ambaye alikuwa akifanya vitu vyake kuanzia utoto kwenye majahazi hadi ukubwani katika ngoma z akufunda na taarabu.
Upo uwezekano wa msiba huo kutwaliwa na serikali kutokana na bi  mkubwa kuwa Idol wa Zanzibar.

Fatuma binti Baraka ambaye ni maarufu sana kwa muziki wa taarabu na unyago kiasi cha kutambulika kama Malkia wa fani hiyo ni protégé wa Siti binti Saad. Bi Kidude alizaliwa Mfagimaringo,  na alikuwa binti wa mjuzaji wa nazi kwa mujibu wa wikipedia. haijajulikana sana amezaliwa lini na maisha yake yamekuwa na utata kiasi cha kuwa kisasili.

Mwaka 2005 Bi Kidude alipewa tuzo ya WOMEX kutokana na mchango wake kwenye muziki wa taarabu na utamaduni wa Zanzibar.

As a child, she was singled out for her fine voice and, in the 1920s, sang locally with popular cultural troupes, combining an understanding of music with an equally important initiation into traditional medicine. At age 13, after a forced marriage she fled Zanzibar to mainland Tanzania. Bi Kidude toured mainland East Africa with a taarab ensemble, visiting the major coastal towns and inland as far west as Lake Victoria and Tanganyika. She walked the length and the breadth of the country barefoot in the early 1930s fleeing another unhappy marriage. In the 1930s she ended up in Dar es Salaam where she sang with Egyptian Taarab group for many years. In the 1940s she returned to Zanzibar where she acquired a small mud hut to be her home. She is known for her role in the Unyago movement which prepares young Swahili women for their transition through puberty. She is one of the experts of this ancient ritual, performed only to teenage girls, which uses traditional rhythms to teach women to pleasure their husbands, while lecturing against the dangers of sexual abuse and oppression.
Fame within Zanzibar

Her fame has been widely acknowledged throughout the local Zanzibari and Zazibari tourism community, with the luxury hotel on the island, '236 Hurumzi', naming their restaurant 'Kidude' in her honour. She can often be found residing within the lobby of this very special hotel in Stonetown.
Musical works

Bi Kidude has worked with various Taarab groups but her first solo work is called Zanzibar, it demonstrates Bi Kidude at the peak of her performing power.
Awards and nominations
Won
    2005 WOMEX award
Awarded
    2012 President of United Republic of Tanzania awarded Bi Kidude 'sports and arts award' of all time
Nominations

    2011 Tanzania Music Awards - Best Collaboration & Best Traditional Song ('Ahmada' with Offside trick)
 
source:lukwangule.blog

No comments:

Post a Comment