WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Sunday, October 20, 2013

MTANGAZAJI MKONGWE JULIUS NYAISANGA AFARIKI DUNIABREAKINGNEWS_3f92a.gifjulius_189cd.jpg
Habari za kusikitisha ambazo tumezipata kutoka mkoani morogoro asubuhi hii ni kuwa mtangazaji mkongwe hapa nchini Julius Nyaisanga maarufu kama "Uncle J" amefariki dunia
Hadi Julius Nyaisanga anafariki dunia alikuwa meneja wa kituo cha redio Abood FM cha mjini Morogoro, na alijulikana sana tangu akifanya kazi Redio Tanzania sasa hivi inajulikana kama TBC Taifa na Redio One stereo.(P.T)

source Mjengwa blog

No comments:

Post a Comment