WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Sunday, June 29, 2014

RISALA YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI

IMG_3462

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa salamu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa   Wananchi  wa Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla,pia aliwatakia mfungo mwema  wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kufanya ibada mbali mbali.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.].(A.I)

UKADIRIFU, MUNGUPAMOJANASI NA KAMAERA YA MAISHA NA VITUKO VYAKE BLOGS KWA PAMOJA ZINAWATAKIA WAUMINI WA KIISALAM MFUNGU MWEMA ULIOJAA AMANI UPENDO WAKATI WA KUTEKELEZA NGUZO HII MUHIMU.

RAMADHANI NJEMA;

No comments:

Post a Comment