WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Monday, June 16, 2014

RAIS KIKWETE KUWALETA TREY SONGZ NA USHER RAYMOND MWEZI UJAO KUZUNGUMZA NA WASANII WA FILAMU NA MUZIKI.


Rais Kikwete na baadhi ya wasanii
Rais Kikwete anatarajia kuwaleta nchini wanamuziki maarufu wa Marekani Usher Raymond na Trey Songz mwezi ujao yaani July.Wasanii hao watatumbuiza na pia kuzungumza na wasanii wa muziki na filamu nchini kwa mujibu wake mwenyewe. Juzi wasanii na Rais Kikwete walikuwa Dodoma katika uzinduzi wa video ya campaign ya Muungano.

CREDIT : SWAHILI PLANET 
Trey Songz na Usher Raymond

source: matukiotz.com

No comments:

Post a Comment