WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Monday, June 30, 2014

EVANS AVEVA RAIS SIMBA

10
Matokeo yametangaza na Evance Aveva amechaguliwa kuwa rais mpya wa klabu ya Simba ya jijini Dar es salaam huku Makamu wa rais akichaguliwa Bw. Godfrey Nyange Kaburu matokeo ya uchaguzi huo yametangazwa leo alfajiri naidadi kamili ya kura walizopata tutawapatia baada ya muda, Kwa upande wa kamati ya utendaji waliochaguliwa ni Idd Kajuna, Coliins Friesh,Ally Suru na Saild Tully kwa upande wa mwanamke ni Jasmin.(A.I).

source: mjengwa blog

No comments:

Post a Comment