WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Tuesday, January 8, 2013

Martin Luther King Jr.




“Everybody can be great...because anybody can serve. You don't have to have a college degree to serve. You don't have to make your subject and verb agree to serve. You only need a heart full of grace. A soul generated by love.” 

1 comment:

  1. Kweli kabisa viongozi wetu wengi wa nchi za kiafrika wamekosa siafa hizo zote; pengine hata kama wana ufahamu wa elimu lakini wamekosa moyo mkunjufu na upendo kwa jamii wanazoziongoza; ni ujumbe mzito ndio maana matatizo ya ufisadi, umasikini unazidi kuzimaliza nchi zetu;

    ReplyDelete