WHATEVER YOUR ARE BE A GOOD ONE;

A nation that is afraid to let its people judge the truth and falsehood in an open market is a nation that is afraid of its people. John F. Kennedy

“Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?) na wanajitambua, haitachukua muda mrefu kuwakilisha mtazamo wa jamii na kubadili mawazo na matumaini ya taifa.” Julius Kambarage Nyerere


Monday, January 14, 2013

MAALIM SEIF ALIPOKUTANA NA TUME YA KATIBA NYUMBANI KWAKE JANA.


 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akimkabidhi warka maalum Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Tanzania Jaji mstaafu Joseph Warioba baada ya kuuwasilisha mbele ya wajumbe wa tume hiyo ikiwa ni maoni yake binafsi kuhusiana na mabadiliko ya katiba.
  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Tanzania. kushoto ni Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji mstaafu Joseph Warioba na kulia ni Makamu mwenyejiti Augostino Ramadhan.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na  Mwenyekiti wa Tume ya mabadiliko ya katiba Tanzania Jaji mstaafu Joseph Warioba akiambatana na katibu wake Assaa Rashid.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwasilisha maoni
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akibadilishana mawazo na Mjumbe wa  Tume ya mabadiliko ya katiba Tanzania Salim Ahmed Salim baada ya mazungumzo na wajumbe wa tume hiyo nyumbani kwake Mbweni Zanzibar

source vijimambo

No comments:

Post a Comment