Makamu Mwenyekiti wa CCM ambae pia ni Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akivishwa Skaf na Mtoto Chipukizi Pili Hassan Suluhu mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Makao Makuu ya CCM Kisiwa Ndui kwa ajili ya Kufanya Uzinduzi wa Sherehe za Miaka 36 ya Kuzaliwa kwa CCM,ambapo Kilele chake kitafanyika Huko Kigoma Tanzania Bara.
Makamu Mwenyekiti wa CCM ambae pia ni Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akitoa Hotuba katika Uzinduzi wa Sherehe za Miaka 36 ya Kuzaliwa kwa CCM, Makao makuu ya Chama hicho Kisiwa Ndui Zanzibar. Kushoto yake ni Naibu katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai na kulia yake ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama Borafya Silima Juma.
Naibu katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai akitoa hotuba ya Kumkaribisha Makamo Mwenyekiti wa CCM ambae pia ni Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein katika Uzinduzi wa Sherehe za Miaka 36 ya Kuzaliwa kwa CCM, Makao makuu ya Chama hicho Kisiwa Ndui Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa CCM ambae pia ni Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akikabidhiwa Vifaa mbalimbali vya Mchezo wa Mpira wa Miguu kwa ajili ya Mashindano maalum ya Ligi ya Timu za CCM Itakayo anza kutimua vumbi hapo kesho Kiwanja cha Amani ikiwa ni Shamra shamra za Sherehe ya kutimia Miaka 36 ya Kuzaliwa kwa CCM, Makao makuu ya Chama hicho Kisiwa Ndui Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa CCM ambae pia ni Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein kulia akimkabidhi Mipira na Vifaa mbalimbali vya Michezo Mwenyekiti wa Kamati ya Michezo Mkoa wa Mjini Ali Othman Said kwa ajili ya Ligi ya Timu za CCM Itakayo anza kutimua vumbi hapo kesho Kiwanja cha Amani ikiwa ni Shamra shamra za Sherehe ya kutimia Miaka 36 ya Kuzaliwa kwa CCM, Makao makuu ya Chama hicho Kisiwa Ndui Zanzibar.
Vijana wa CCM wakiimba Wimbo Maalum wa Kuzaliwa kwa Chama CCM katika Uzinduzi wa Sherehe za Miaka 36 ya Kuzaliwa kwa Chama hicho, kwenye Makao makuu ya Chama Kisiwa Ndui Zanzibar.
Vijana wa CCM wakiimba Wimbo Maalum wa Kuzaliwa kwa Chama CCM katika Uzinduzi wa Sherehe za Miaka 36 ya Kuzaliwa kwa Chama hicho, Makao makuu ya Chama Kisiwa Ndui Zanzibar. (PICHA NA YUSSUF SIMAI -MAELEZO ZANZIBAR).
No comments:
Post a Comment